Pembe, Hilda
(Journal of Kiswahili and Other African Languages, 2023-12-23)
Tafsiri hujishughulisha na usafirishaji wa ujumbe ulio katika
maandishi kutoka lugha asilia kwenda lugha pokezi ambao
hufanywa na mwandishi mwenyewe au mtaalamu mwingine.
Makala haya yanachunguza tamthiliya ya ...