Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Institutional Repository

Tafsiri au Uandishi Mpya: Uchambuzi wa Tamthiliya ya Kinjeketile

Show simple item record

dc.contributor.author Pembe, Hilda
dc.date.accessioned 2024-02-28T09:00:16Z
dc.date.available 2024-02-28T09:00:16Z
dc.date.issued 2023-12-23
dc.identifier.citation Pembe, H. & Simon, C. (2023). Tafsiri au Uandishi Mpya: Uchambuzi wa Tamthiliya ya Kinjeketile. Journal of Kiswahili and Other African Languages, 1(2), 54-62. en_US
dc.identifier.issn 2958-4914
dc.identifier.uri http://41.59.91.195:9090/handle/123456789/205
dc.description JOURNAL ARTICLE en_US
dc.description.abstract Tafsiri hujishughulisha na usafirishaji wa ujumbe ulio katika maandishi kutoka lugha asilia kwenda lugha pokezi ambao hufanywa na mwandishi mwenyewe au mtaalamu mwingine. Makala haya yanachunguza tamthiliya ya Kinjeketile iliyoandikwa kwa Kiswahili kwa mara ya kwanza mwaka 1969 kisha ikatafsiriwa kwa Kiingereza na mwandishi mwenyewe Ebrahimu Hussen kama Kinjeketile mwaka huo huo wa 1969. Kimahususi, makala inachunguza ni kwa namna gani mtafsiri ameweza kuweka usawa wa ujumbe na mtindo baina ya matini asilia na matini pokezi wakati yeye ndiye mwandishi wa tamthiliya hiyo na ameitafsiri mwaka huo huo. Je alitafsiri au aliandika tamthiliya mpya iliyo katika lugha ya Kiingereza? Utafiti umetumia mkabala wa kistahilifu linganishi (correlation qualitative design) kwa kiasi kikubwa japo mkabala wa takwimu umejitokeza kidogo. Data zimekusanywa kwa kutumia mbinu ya upekuzi matini (documentary review). Nadharia ya ulinganifu imetumika katika uchanganuzi wa data kama ilivyojadiliwa na Nida (1964), Catford (1965) na Newmark (1988). Utafiti umebaini kuwa tamthiliya ya Kinjeketile ya Kiingereza ni matini mpya na sio tafsiri kutokana na utofauti wake katika utangulizi, muundo pamoja na idadi na utumizi wa majina ya wahusika. en_US
dc.language.iso en_US en_US
dc.publisher Journal of Kiswahili and Other African Languages en_US
dc.relation.ispartofseries 1;2
dc.subject Tafsiri en_US
dc.subject Tamthiliya en_US
dc.subject Mtindo en_US
dc.subject Ujumbe en_US
dc.subject Ulinganifu en_US
dc.title Tafsiri au Uandishi Mpya: Uchambuzi wa Tamthiliya ya Kinjeketile en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search MNMA Repository


Browse

My Account

Statistics